Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hapo sawa, utafanya jambo jema zaidi.
Mie sitokuwepo ila nitachangia party ifanikiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sitokuwepo ila nitachangia party ifanikiwe
Sasa sisi wa mkoani tunafikajeHata ww natamani kugongesha glasi nawe..ili niisikie vzr hiyo "aisee" yako[emoji4]
Vzr na mdau wa kukulipia kaishajitokezaWengine tutakunywa juice jamani
Pole sana Mzigua90 kwa kukosa miaka ileee.Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Akhuu nitajilipia ...vya kulipiana tena...hapana.Vzr na mdau wa kukulipia kaishajitokeza
Wewe nakutafuta kama upo kwenye party itakuwa vizuri.Pole sana Mzigua90 kwa kukosa miaka ileee.
Kwa miaka 3 mfululizo tulikuwa ndio waandaaji wa party za Jamii Forums
Nilikuwa mimi, Mtambuzi, lara 1, gfsonwin na somebody nimemsahau jina.
Baada ya namaliza mwaka wa mwisho, hudhurio za watu zikapungua na mpaka tukasitisha party hizo.
Msijali.....wekeni mawazo,
Tutaratibu, kuandaa na kufanikisha.
Karibuni.
Madame B....
Katibu muandaaji wa Jf Party
Si unapanda dreamliner jamaniii[emoji4]Sasa sisi wa mkoani tunafikaje
Unadhani hata katika uhalisia nipo hivi hivi? Nitakulipia bhana nikishindwa kufanya hivyo mod yeyote atakayekuwa hapo anipe ban.Akhuu nitajilipia ...vya kulipiana tena...hapana.
Usijali.Wewe nakutafuta kama upo kwenye party itakuwa vizuri.
Sitokuwepo hiyo ofa utampa mwingine.Unadhani hata katika uhalisia nipo hivi hivi? Nitakulipia bhana nikishindwa kufanya hivyo mod yeyote atakayekuwa hapo anipe ban.
Hivi Dreamliner inafikaga huku bush kwetuSi unapanda dreamliner jamaniii[emoji4]
Sawa mama. Tushaweka wazo kama hilo mtuambie na nyie wazoefu inakuaje sasa. Tunataka party tu sisi nyie mtupe muongozo nini cha kufanya.Pole sana Mzigua90 kwa kukosa miaka ileee.
Kwa miaka 3 mfululizo tulikuwa ndio waandaaji wa party za Jamii Forums
Nilikuwa mimi, Mtambuzi, lara 1, gfsonwin na somebody nimemsahau jina.
Baada ya namaliza mwaka wa mwisho, hudhurio za watu zikapungua na mpaka tukasitisha party hizo.
Msijali.....wekeni mawazo,
Tutaratibu, kuandaa na kufanikisha.
Karibuni.
Madame B....
Katibu muandaaji wa Jf Party
Dege la Taifa linatua kila kona,.Hivi Dreamliner inafikaga huku bush kwetu
Hatutumii hizo nyingine mkuuHuu naanza kugundua JF kuna wadada walevi/wanywaji wa pombe Kali tu ,na km ni bia basi ni Savannah,Heineken ,Windhoek ,wakuu mjipange siku hy ya party. Hakuna mdau humu wa SBL ,TBL wala TDL mbozi road
Okay usijali.Sawa mama. Tushaweka wazo kama hilo mtuambie na nyie wazoefu inakuaje sasa. Tunataka party tu sisi nyie mtupe muongozo nini cha kufanya.
Jamani, si party munafurahi au ?Akhuu nitajilipia ...vya kulipiana tena...hapana.