JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Pole sana Mzigua90 kwa kukosa miaka ileee.
Kwa miaka 3 mfululizo tulikuwa ndio waandaaji wa party za Jamii Forums
Nilikuwa mimi, Mtambuzi, lara 1, gfsonwin na somebody nimemsahau jina.

Baada ya namaliza mwaka wa mwisho, hudhurio za watu zikapungua na mpaka tukasitisha party hizo.

Msijali.....wekeni mawazo,
Tutaratibu, kuandaa na kufanikisha.
Karibuni.
Madame B....
Katibu muandaaji wa Jf Party
 
Wewe nakutafuta kama upo kwenye party itakuwa vizuri.
 
Pole sana Mzigua90 kwa kukosa miaka ileee.
Kwa miaka 3 mfululizo tulikuwa ndio waandaaji wa party za Jamii Forums
Nilikuwa mimi, Mtambuzi, lara 1, gfsonwin na somebody nimemsahau jina.

Baada ya namaliza mwaka wa mwisho, hudhurio za watu zikapungua na mpaka tukasitisha party hizo.

Msijali.....wekeni mawazo,
Tutaratibu, kuandaa na kufanikisha.
Karibuni.
Madame B....
Katibu muandaaji wa Jf Party
Sawa mama. Tushaweka wazo kama hilo mtuambie na nyie wazoefu inakuaje sasa. Tunataka party tu sisi nyie mtupe muongozo nini cha kufanya.
 
Sawa mama. Tushaweka wazo kama hilo mtuambie na nyie wazoefu inakuaje sasa. Tunataka party tu sisi nyie mtupe muongozo nini cha kufanya.
Okay usijali.
Tutazidi wasiliana kisha tutafanikisha.
Ila yabidi zitoke pendekeza za tarehe, mwezi n.k
 
Kuna watu huku wanatongozaga watu wasio wajua Mara siku hyo anashtukia kumbe alikua anampiga saund mama mkwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ishu sio kwamba atamtambuaje shida ni kwamba harder king anaingia eneo LA tukio anakuta wote waliomo wame muover age na anatakiwa kutoa ad shikamoo wakubwa!!![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na hyo party ikifanywa December sipati Picha wale madogo wa 4m4 wanaojiungaga Leo na kutafuta mpenz jf siku hyo hyo! Patakua patamu mno.
 
Back
Top Bottom