Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha kwann usubiri ripoti?Naona mnataka kurudisha enzi za White party pale Kerby hôtel na JF get together pale Escape one, wazo zuri
Sisi wengine tutasubiri report hapa km kawa
HahahaHahahaha kwann usubiri ripoti?
Na si kuungana na wenzako?
Kipenzi tutaenda?Nitasimamia swala la ulinzi mlangoni maana Da'Vinci na Joseverest hawakawii kubeba vyakula kwenye mashati
Walevi utawajua tuNimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.
Hivi ww ile tabia ya kugombania ukoko ushaachaNitasimamia swala la ulinzi mlangoni maana Da'Vinci na Joseverest hawakawii kubeba vyakula kwenye mashati
Lazima nikutafutie mateja kadhaa wakufanyie kitu roho haipendiNitapigwa, maana kuna watu humu nishavurugana nao wakijua huyu ndiye Mbao za Mawe hakika naweza kufa ukumbini kwa kipigo.
Mnihakikishie ulinzi wangu kwanza.
We najua nakupatia wapi mkuu...Siji ng’oo
Kumbe na wewe ni mdau??[emoji16]Enzi nikiwa anonymous niliona JF party ishatokea watu 'waligongana' balaa nanii zilikutana vya kutosha
Watoto walipatikana wa kutosha,michepuko ya kudumu na ya muda mfupi hewalaa
wenye akili walidaka madili ya maana
etc etc etc
comradeMkuu leo nimekukubali sana kongole
Kumbe na wewe ni mdau??[emoji16]
Unapotaja Party ya wajf wote ujue jf sio kikundi kidogo cha watu jf imebeba watu wa sehemu tofauti tofauti kuanzia ndani ya nchi mpaka nje ya mipaka ya Tanzania sasa utawakusanyaje watu hawa kwa pamoja?Unaweza kuwa wazi nijue una maana gani?
Nimekumiss pia shosti ake.Aaah shosti nilikumiss
Kwenye mada mie [emoji125][emoji125]
Kuna sehemu inamtaka kila mtu afike?Unapotaja Party ya wajf wote ujue jf sio kikundi kidogo cha watu jf imebeba watu wa sehemu tofauti tofauti kuanzia ndani ya nchi mpaka nje ya mipaka ya Tanzania sasa utawakusanyaje watu hawa kwa pamoja?