JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

Naona mnataka 3some rafiki
hivi ushawahi kumuona huyu behaviorist the chura? anafanana na yule jamaa liyekuwa anakagua wachezaji wa simba juzi. sasa mm nikipiga threesome si ntaishia kuishika na chura ya mwanume mwenzangu sasa.
 
Nimekua nikiwaza sana kwanini wana JF hatukutani hata mara moja kwa mwaka? Wengi mnaogopa kujulikana identity zenu lakini kwani ukija sehemu yenye watu 100 na ukajitambulisha wewe Gladys na huku unatumia Mzigua nani atakaekujua?
Tuacheni woga bwana tupangeni tukutane hata tugonge glass tubadilishane story mbili tatu atakaejitambulisha kwa Id yake itakua ni mapenzi yake.
Mkiunga mkono hoja wale waloandaa mwaka ulee tutawaomba waandae na mwaka huu tukutane maana ya mwaka ule inaniuma kweli kuikosa mpenda bata mimi.

UPDATE

Tumeshaarrange kila kitu kuhusu party kama date, location, dress code, Mchango na kila kitu.
Madame B atakuja na Uzi kuelezea mchakato mzima.

Mambo ni hiviiiiiii
me naham kweli iwe nikutane na Sky Eclat jingalao Ruttashobolwa cocochanel stroke huyu Pascal Mayalla sina shida nae sana huwa nakutana nae sana viwanja ila Madame B lazima pia nimuone bila kumshau miss chagga manengelo uwepo wako ni muhim kwangu 😛🙂 sijakusahau my MBITIYAZA FaizaFoxy
 
siku hiyio nitakuonyesha shemelaaa

vitu nzuri nzuri haitaki haraka
Aaa shemela ujue utanimaliza kabisa.

Mm huwa nusu nusu swez, nkiambie niweke nusu huwa naweka yote.
Sas aundhani itakuwaje?
 
siku hiyo utajua itakuwaje wewe subiri

haraka ya nini jmn shemela?
MAnake ushaniruhusu kuweka vocha yote.
Inaitwa ruksa.
Ila shemela sio kwa mitego hio.

Kwneye party im sure utakuja mwenyewe
 
Back
Top Bottom