Hahaaa!! Usiombe yakukute kila nikitoa nkirudi kwenye Uzi naikuta halafu pale juu...imejaaa..USO umevimba weeee..ikabidi niweke picha nyingine ndo yangu ikatoka sina hamu na jf picha...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
U made my day Rayna..haaahaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mna setlle score!!!Yaaan kujua namba angu na picha zangu whassup ndo unilete JF?[emoji15] [emoji15]
Hakyanani nahakikisha tumemalizana kiroho safi
Kuna watu wana akili mbovu sana humu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka.
Naunga mkono hoja
Absolutely yes[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mna setlle score!!!
Haaahaaaahaaa....sijawahi hata kutest hiyo daaah!Hahaaa!! Usiombe yakukute kila nikitoa nkirudi kwenye Uzi naikuta halafu pale juu...imejaaa..USO umevimba weeee..ikabidi niweke picha nyingine ndo yangu ikatoka sina hamu na jf picha...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna watu hawana uoga.Yaaan kujua namba angu na picha zangu whassup ndo unilete JF?[emoji15] [emoji15]
Hakyanani nahakikisha tumemalizana kiroho safi
Sikupatii picha kijasho chake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa!! Usiombe yakukute kila nikitoa nkirudi kwenye Uzi naikuta halafu pale juu...imejaaa..USO umevimba weeee..ikabidi niweke picha nyingine ndo yangu ikatoka sina hamu na jf picha...[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto mkareee kwani uwongooo[emoji15] [emoji15]Siamini kama unanifanyia hivi[emoji23][emoji23]
Don't dare...najutaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!Haaahaaaahaaa....sijawahi hata kutest hiyo daaah!
Mnoo unajiuliza anapata faida gani unakosa jibu.Kuna watu wana akili mbovu sana humu!
KabisaaaKuna watu hawana uoga.
Si ustaarabu kwa kweli.
Ovyooo sana!....anahisi ndo kakuumiza eti?!Kuna watu hawana uoga.
Si ustaarabu kwa kweli.
Balaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mikono yatetemekaaa ilikua yaani sina hamu ujuee!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6]Sikupatii picha kijasho chake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh[emoji23]Don't dare...najutaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]!!!
Yaani kuna watu watakuamini wangejua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto mkareee kwani uwongooo[emoji15] [emoji15]
Sifa ako lazima upewe
Tatizo stress aseeMnoo unajiuliza anapata faida gani unakosa jibu.
Acha kunizingua wewe...toto totoYaani kuna watu watakuamini wangejua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzuri watu watapita na watasahau, hakuna kitu kizuri kama kuheshimu privacy ya mtu.Ovyooo sana!....anahisi ndo kauumiza eti?!
Hivi nilikuaga ehee ngoja nikaifanye ile issue sasa.[emoji3]Acha kunizingua wewe...toto toto
Kuna wastarabu ila wachache sana sanaaaUzuri watu watapita na watasahau, hakuna kitu kizuri kama kuheshimu privacy ya mtu.
Hata ikitokea umemjua mtu bahati mbaya na yeye hajui kama umemjua ni vizuri ukanyamaza.