JF Party On My Mind

JF Party On My Mind

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli shost maana humu haaahaaa
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
 
Haaaahaaaaa....mtoto mwenyewe mkaree unaogopa nini?

Tuache sisi wenye sura za baba zetu tuogope[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku kidogo nitume picha yangu wakati natuma picha kule jukwaa la likes...uwiii jasho lilinitoka nikaacha hadi kutuma ile picha niliyotaka nitume.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

U made my day Rayna..haaahaaa
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]mi yalinikutaaa achaaa!bony akanishtua wasap halafu picha mbayaaaa!!!chunusiii...[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]nilijutaa..kutoka haitoki karibu dkk 10 sina hamu atiii
Nakumbuka niliona comment yako kuhusu hii issue ha ha ha kwanza wanatoaje yasije nikuta siku nikakimbia ID bure
 
Back
Top Bottom