Nilikuwa nauliza vipi ile party ya wana Jf mwaka Jana vipi ilifanyika.. Maana kitambo sijaingia humu ndani istoshe nilikuwa naskia tu tetesi oooh sijui mshana alijigeuza nyaya za spika akaingia ukumbini bila kulipa mchango... Mara sijui ooooh rakims na mzizi mkavu mambo ya kiroho waliweka kwanza pembeni wakawa wanazungusha mauno kama hawana akili nzuri... Nikaona ngoja nije kuuliza ili nipate uhakika