Jf pazuri jamani

Iko tofauti sana na mitandao mingine ya kijamii, na kikingine ni kuwa naweza pata habari mbalimbali za muhimu bila kuhangaika na tv. majukwaa yametengenezwa kwa namna ambayo karibu kila mtu kuna sehemu atavutiwa. ni hivyo mkuu


Unavutiwa na jukwaa gani zaidi? [HASHTAG]#karibu[/HASHTAG]
 
usije ukaiba mabwana wa watu humu kila mwanamke ana bwana wake humu
 
Hodi humu ndani, nimekuwa natembelea jf kama guest kwa muda mfupi lakini nimeona ni kwa namna gani jf ni sehemu ambapo huwezi boreka kwa namna yoyote maana imekamilika.

Naamini hamtanitenga.
NA HATUTAKUTEGA VILE VILE LABDA WWW UTUTEGE
 
Ila unahitajika kuwa na subira...huku kuna kitu
Burn
Kukejel kwa post yako
Kakatishwa tamaa
 
Da Gesh karibu sana Jf ukiona mtu anakusumbua usisite kunijulisha au kuniuzia kesi. Unapoona nipo karibu basi kuwa na amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…