Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Alitaka kumaanisha kuboeka."Huwezi boreka" kwa Kiswahili nyoofu nafikiri maana yake ni huwezi kuwa bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitaka kumaanisha kuboeka."Huwezi boreka" kwa Kiswahili nyoofu nafikiri maana yake ni huwezi kuwa bora.
Hahahaaa!! Mie namsubiri tu amalize.Anachukua sabbatical madai yake!!!
Hahahaaa!! Mie namsubiri tu amalize.
Nimuwahi, maana sijakata tamaa bado.Iliumuwahi ama una lengo gani!???
Hii tunaitaga [HASHTAG]#ugwadu[/HASHTAG]Karibu sana aiseee.
Kama wewe ni wa kike kuna party maalum huwa naiandaa kwa ajili ya watoto wazuri wazuri wapya wa JF.
Nitumie PM kwa maelezo zaidi.