SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Matako ya sufuria hayaogopi moto.
Sio Ramadhan Masanja aka Banza Stone huyo? R.I.P. japo kwa mbaali utadhani ni Mwigulu ujanani(japo hana uzee wowote😀)Inakuja inakataa
Ewaaaa.!!! Ramadhan Masanja. Enzi zake hiyoSio Ramadhan Masanja aka Banza Stone huyo? R.I.P. japo kwa mbaali utadhani ni Mwigulu ujanani(japo hana uzee wowote[emoji3])
Ngoyai, sio?
Mkuu,nijuze
Yaani...Utalii Serengeti miaka hiyoo