JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

1741859288876.jpg
 
Rochereau na Rocherettes wake
Annie MBULI (ambaye baadaye alikuja kuwa mke wa Franco) na Angelique YENI wakati wa Tamasha la Olympia
1743100585792.jpg
 
Leo ni miaka 30 baada ya kifo cha Rais Juvenal Habyarimana wa Rwanda aliyefariki kwa ajali ya ndege iliyoangushwa tarehe 6 Aprili 1994.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Nachingwea, Lindi; 6 Aprili 2025; saa 12:36 jioni
1743956407890.jpg
 
Back
Top Bottom