JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

FB_IMG_1745162196041.jpg
 
Prof. Mwandosya anatimiza miaka 76 mwaka huu, lakini Mwalimu Elda Simwaba aliyemfundisha Mwandosya kusoma, kuhesabu na kuandika pale shule ya msingi majengo Mbeya bado yupo hai. Baadaye Mwandosya alisoma mpaka nje ya nchi akawa hadi Waziri ila leo ameenda kumtembelea mwalimu wake
IMG-20250506-WA0045.jpg
 
Video ya thriller ya Michael Jackson iligharimu dola 500000 mwaka 1982 ambayo ni sawa na dola 1656989.64 mwaka huu 2025 ambayo ni sawa na pesa ya Tanzania Bilion 4.48

Hii ni video ambayo iligharimu pesa nyingi mnoo katika maandalizi yake na matokeo yake imekua miongoni mwa video za kutisha zilizofanya vizuri zaidi kwenye historia ya video zenye maudhui hayo.

1747095899945.jpg
 
Charles Hilary akiwa na Julius Nyaisanga "uncle J" wakiwa bado vijana BAROBARO kabisa wakati huo kama watangazaji vijana wa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

Kwa sasa Julius Nyaisanga na Charles Hilary wote ni marehemu. Wapumzike vyema magwiji wa tasnia ya utangazji na habari nchini.
FB_IMG_1747179869231.jpg
 
Charles Hilary akiwa na Julius Nyaisanga "uncle J" wakiwa bado vijana BAROBARO kabisa wakati huo kama watangazaji vijana wa Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD)

Kwa sasa Julius Nyaisanga na Charles Hilary wote ni marehemu. Wapumzike vyema magwiji wa tasnia ya utangazji na habari nchini.View attachment 3333217
Daa wapumzike kwa amani
 
PICHA HII ILIPIGWA JANUARY MWAKA 2010.

,, Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya
wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw. Kassim Majaliwa.
IMG-20250621-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom