Ulipiga kura ukiwa na miaka 17?! Ulikuwa na haraka ya nini wakati umri wa kupiga kura ni miaka 18 ?!Weee thubutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi si mtoto wa 98
Mbona unanishusha hivyo Dr??
Mimi nimemuingiza Mkapa madarakani kwa kura yangu mwaka 95[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ganzi inachangia kwa baadae kudhoofisha nguvu za kiume!.'Jando ilikuwa bila ganzi'
Hii si mchezo aisee,hivi watu walikuwa hawafi kweli?
Leo mh rais akiwa bungeni alitaja "MAFUTA YA KUPIKIA" kisha akarekebisha na kusema ni "MAFUTA YA KULA" Nadhani sababu ya kurekebisha ni kwamba tukisema '" MAFUTA YA KUPIKIA " tunamaamisha nishati inayotumika kupikia kwa baadhi ya majiko kama vile jiko la mafuta ya taa (Kerosene stove), gesi mkaa nk. Kwahiyo naona kwa usahihi MAFUTA YA KUUNGIA CHAKULA NI MAFUTA YA KULA NA SIO MAFUTA YA KUPIKIA.Siyo ya mafuta ya kula ni ya kupikia chakula
Sio kweli .mkuu,upo sahihi,lakini niongezee tu kidogo, huyu jamaa aliuliwa na kikosi cha walinzi wa Mobutu (DSP) ,inasemekana hii ndio moja ya sababu kagame kuivamia Zaire, aliuliwa katika battle,wanajeshi wa DSP walitumwa kutuliza hali ya amani Rwanda
Hapana sio usumbufu karibu bila shakaLeo mh rais akiwa bungeni alitaja "MAFUTA YA KUPIKIA" kisha akarekebisha na kusema ni "MAFUTA YA KULA" Nadhani sababu ya kurekebisha ni kwamba tukisema '" MAFUTA YA KUPIKIA " tunamaamisha nishati inayotumika kupikia kwa baadhi ya majiko kama vile jiko la mafuta ya taa (Kerosene stove), gesi mkaa nk. Kwahiyo naona kwa usahihi MAFUTA YA KUUNGIA CHAKULA NI MAFUTA YA KULA NA SIO MAFUTA YA KUPIKIA.
Swala la waingereza kuyaita COOKING OIL haiwezi kuwa sababu ya sisi kutafsiri neno kwa neno kutoka kwenye kienglish kupeleka kwenye kiswahili kwa sababu kuna Mwalimu wangu mmoja wa English course aliwahi kuniambia kuwa "kila lugha ina sheria zake na utamaduni wake (rule and culture) akanipa mfano kwamba kwa mwingereza tukitaka kumwambia "KARIBU KITI" hatumwambii "WELCOME A CHAIR" bali tutamwambia "PLEASE HAVE A SEAT" japo sio tafsiri ya moja kwa moja ya
"KARIBU KITI"
Jamani mniwie radhi UZI WA ZAMANI ila mimi ndio njmeupna sasa napenda kuchangia japo ni hoja za karibia miaka 5 iliyopita.
MNIWIE RADHI ENDAPO INALETA USUMBUFU.
Kati ya vitu siwezi kumshauri mtu ninayempenda kwa dhati ni kuingia kwenye siasa.Ina maana hata hawa wanaaoonekana wanashirikiana kisiasa si marafiki?
Yaani hadi jamaa kamuua mwenzie[emoji26],kwanini asiongee naye tu kumwambia Kama naye anatamani kuwa Rais!?!
😅😅😅😅😅😅Mmh mkuu au mi ndo sijakuelewa? imeundwa mwaka 2003, ila kufanya doria ocean sea ikaja mwaka 2000 ngachoka hoi
Kila mtu hufika mwisho wa safari ya maisha yake .Maisha ni safari, ila wanaofika mwisho wa safari ni wachache sana.
Siwezi sahau usumbufu na kero ya kodi hii.[emoji23][emoji23][emoji23]siku za gulio kulikuwa na kizuizi cha wagambo kama huna kipande cha malipo ya kodi ya kichwa unakamatwa
Huu ubishi ulitokea darasani mwaka huo 1995 ikawa zogo kubwa hadi darasa zima tukaitwa ofisi ya walimu kuonywa tusirudie kuongelea mambo ya siasa darasani.
Kuna habari za chinichini ya kwamba mapinduzi + muungano yote mawili ni mipango ya mabeberu hasa USA kwa sababu wazozijua wenyewe.Karume hakuwahi kuongoza mapinduzi mkuu...Alikuwa Dar wakat wa mapinduzi
Kati ya mwaka 1988,1989, na 1990,1991.Ila tungekuwa tunaweza kurudi nyuma
Basi kuna enzi natamani zingerudi.
Maisha ya zamani nadhani yalikuwa na raha yake.
Mimi nimezaliwa hayo magari ndio yanaishia ishia.
Halafu ukimpata upewe tsh 5,000/=?!Vp bado wanamsaka niingie mzigoni kumtafuta?
Mkapa alivyoingia madarakani alikataa kuweka picha yake kwenye pesa za TZ.hiv kwann huyu mzee walimuondoa kwenye noti za sahv
😄😄😄😄😄Sorry ni mahakama pema peponi, hapo Nilikosea
KWELI tumetoka mbali!View attachment 1772503
Vita na mgambo
Hadi mifuko ya plastiki yote ikaitwa mifuko ya Rambo wakati ilikuwepo pia yenye chapa marbollo!
Koroboi na Karabai ni majina ya taa mbili tafauti.