GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
August 1964 Bibi Titi aliandaa maandamano na wanawake wa Dar kwenda ubalozi wa Marekani kupinga Serikali ya Marekani kumuunga mkono Moise Kapend Tshombe na serikali yake
Huyu Tshombe alikua anataka jimbo la Katanga lijitenge na alijitangaza Rais wa Katanga toka 1960-1963 baadae akaingizwa katika serikali ya DRC kama Waziri Mkuu(Premier 1964-1965)
Alifariki 1969