JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Wahenga
tapatalk_1567752220308.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu umeaona wapi hiyo 1963?

EDIT : Nimekuelewa hiyo kipande cha gazeti. kinaongelea Motel Agip ndo ilikua na miaka 35 mpaka hiyo 1998 ila ndo ikafungwa mpaka saivi ni gofu tu pale Posta

Mimi nilidokeza tu kwamba Mmiliki wa Hio Agip alikua mgiriki fulani na miaka ya 1995 ama 96 hivi ndo alifungua Sheraton pale Ohio basi akamkabidhi binti yake Agip aiendeleze yeye akaenda Kusimamia Sherato. Yule binti ikamshinda
Mkuu, Motel Agip na Embassy Hotel zilikua za kishua sana miaka hiyo
 
Oky kumbe Agip ndio ilimfia binti

Na vipi kuhusu hiyo sheraton nasikia ndio hii inabadilishwa majina mpaka leo mara Moven Peak mara ninii
Hapana mkuu umeaona wapi hiyo 1963?

EDIT : Nimekuelewa hiyo kipande cha gazeti. kinaongelea Motel Agip ndo ilikua na miaka 35 mpaka hiyo 1998 ila ndo ikafungwa mpaka saivi ni gofu tu pale Posta

Mimi nilidokeza tu kwamba Mmiliki wa Hio Agip alikua mgiriki fulani na miaka ya 1995 ama 96 hivi ndo alifungua Sheraton pale Ohio basi akamkabidhi binti yake Agip aiendeleze yeye akaenda Kusimamia Sherato. Yule binti ikamshinda
 
Sanaaa nakumbuka nilishawahi kufikia pale nikitokea Kigoma nikapita na Taulo(niliiba[emoji1787][emoji1787])

Basi nilikua naona ufahari sana nikilianika pale nyumbani kwangu Gungu kigoma nilikua naonekana bonge la mshua. Ujana raha sana
[emoji23][emoji23]
 
Tunaua vipaji vya waandishi na wahariri wetu kwa kuwafunga midomo wasiandike na kutangaza habari ambazo haziwapendezi watawala. Ndio maana siku hizi vituo vyote vya radio, tv stations na print media vimejaa mambo ya michezo, muziki, burudani na entertainments tu, no hard news. Habari nyingi ni kuripoti ratiba za watawala na kurusha propaganda zao
Ndo mana nilimua kuacha hii kazi
 
View attachment 1519919
Watu wengi huwa wanadhani Mugabe ndio alikua Rais wa kwanza wa Zimbabwe.

Kuna mwamba aliitwa Canaan Bondido Banana ndio alipewa usukani baada ya makubaliano ya Lancaster na R. Mugabe alikua Waziri Mkuu
Huyu Canaan Banana si ndiye yule Rais aliyekuwa anamtafuna bodyguard wake ndani ya makataba ya ikulu?
 
Back
Top Bottom