JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

[emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]

Na sema nimechoka tu kuandika ndo maana kasi ikepungua na majukumu yanabana. Ila nna picha za historia nyingi sana
umeutendea haki sana huu uzi , ikikupendeza pumzika ili upate nguvu ya kutupia picha with details, hiyo ya Putin kukaa morogoro sikuwahi isikia
 
TAL akiwa ktk mafunzo ya kijesh
IMG_20200805_234910.jpeg
 
Huyu ni Mhe Abdurhaman Babu ni muhim sana pia. Mbali ya mapinduzi ya Zanzibar alikuwa Waziri wa Uchumi serkali ya Muungano. Alifarki hapa London 1996 akiwa na miaka 70.

Tulibishana sana kuh suala la kuvuta sigara. Lilichangia kifo. Amina

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Alichagiza sana siasa za upinzani wakati ule
 
Napenda picha za jakaya kikwete akiwa kijana, yaan nataman km ningekua kipindi hiko afu tuwe na ukaribu lol,
Pz tupieni picha za jakaya akiwa kijana, tena zile amevaa casual uwiiiiiiiiiiiiii
Akikusikia Mama Salma shauri yako
 
Baraza la kwanza la Mawaziri la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Rais Ali Hassan Mwniyi mwezi Nov 1984.

Wa mbele wanaonekana kutoka kulia Dr Salim Ahmed Salim(waziri mkuu, JMT)
Kushoto Maalim Saif Sharif Hamad(Waziri kiongozi SMZ), Jaji Augustino Ramadhan(Jaji Mkuu SMZ) na Sheikh Idris AbdulWakil(Spika wa Baraza la Wawakilishi)

Na hili ndio baraza la Mawaziri lililokaa kwa muda mfupi zaidi kwa kuwa mwaka 1985 Rais Ali Hassan Mwinyi aliteuliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nafasi yake kuchukuliwa na Spika wa Baraza la wawakilishi Sheikh Idris AbdulWakil.
IMG_20200806_130209.jpeg
 
Back
Top Bottom