Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabalozi wetu waliokuwa nchi mbali mbali dunia; waliitwa na Mwl Nyerere warudi nchini ili wapunguze vitambi. Huyo white hapo katikati waliokaa ni Hassan Diria.Maelezo mkuu??
Mkuu, Motel Agip na Embassy Hotel zilikua za kishua sana miaka hiyoHapana mkuu umeaona wapi hiyo 1963?
EDIT : Nimekuelewa hiyo kipande cha gazeti. kinaongelea Motel Agip ndo ilikua na miaka 35 mpaka hiyo 1998 ila ndo ikafungwa mpaka saivi ni gofu tu pale Posta
Mimi nilidokeza tu kwamba Mmiliki wa Hio Agip alikua mgiriki fulani na miaka ya 1995 ama 96 hivi ndo alifungua Sheraton pale Ohio basi akamkabidhi binti yake Agip aiendeleze yeye akaenda Kusimamia Sherato. Yule binti ikamshinda
Hapana mkuu umeaona wapi hiyo 1963?
EDIT : Nimekuelewa hiyo kipande cha gazeti. kinaongelea Motel Agip ndo ilikua na miaka 35 mpaka hiyo 1998 ila ndo ikafungwa mpaka saivi ni gofu tu pale Posta
Mimi nilidokeza tu kwamba Mmiliki wa Hio Agip alikua mgiriki fulani na miaka ya 1995 ama 96 hivi ndo alifungua Sheraton pale Ohio basi akamkabidhi binti yake Agip aiendeleze yeye akaenda Kusimamia Sherato. Yule binti ikamshinda
Freedom fighters
Mkuu, Motel Agip na Embassy Hotel zilikua za kishua sana miaka hiyo
[emoji23][emoji23]Sanaaa nakumbuka nilishawahi kufikia pale nikitokea Kigoma nikapita na Taulo(niliiba[emoji1787][emoji1787])
Basi nilikua naona ufahari sana nikilianika pale nyumbani kwangu Gungu kigoma nilikua naonekana bonge la mshua. Ujana raha sana
Vichwa vya Africa.
Ndo mana nilimua kuacha hii kaziTunaua vipaji vya waandishi na wahariri wetu kwa kuwafunga midomo wasiandike na kutangaza habari ambazo haziwapendezi watawala. Ndio maana siku hizi vituo vyote vya radio, tv stations na print media vimejaa mambo ya michezo, muziki, burudani na entertainments tu, no hard news. Habari nyingi ni kuripoti ratiba za watawala na kurusha propaganda zao
Ulichukua uwamuzi wa busara kabisa dada yanguNdo mana nilimua kuacha hii kazi
Idd na mbuzi wakePicha ambazo wazungu hawapendi kuzionaView attachment 1529796View attachment 1529797View attachment 1529799View attachment 1529801View attachment 1529806
Mbuzi wa kizunguIdd na mbuzi wake
Huyu Canaan Banana si ndiye yule Rais aliyekuwa anamtafuna bodyguard wake ndani ya makataba ya ikulu?View attachment 1519919
Watu wengi huwa wanadhani Mugabe ndio alikua Rais wa kwanza wa Zimbabwe.
Kuna mwamba aliitwa Canaan Bondido Banana ndio alipewa usukani baada ya makubaliano ya Lancaster na R. Mugabe alikua Waziri Mkuu
Siyo ya mafuta ya kula ni ya kupikia chakula
Huwa nampenda sana Amin kwenye hichi kipengele,alitulipia kisasi kimtindo.Picha ambazo wazungu hawapendi kuzionaView attachment 1529796View attachment 1529797View attachment 1529799View attachment 1529801View attachment 1529806
Siyo ya mafuta ya kula ni ya kupikia chakula