JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Walifisika?! Kampuni ilivuma kwa muda mfupi halafu habari zake zikapotea! Nasikia kulikuwa na nyingine pia ikiitwa " Sasatel " pia ilipotea ndani ya muda mfupi na ni kama haikutoka nje ya mkoa wa DSM.
Sasatel walichemsha mapema sana. HQ zao zilikuwa Msasani mkabala na Coco beach
 
Babu Duni nadhani
Kwa 2005 sidhani!
Babu Duni alikuwa CUF na Zito alikuwa chadema!
Chadema na CUF waliungana kwenye uchaguzi wa mwaka 2000 ilivyofika 2005 kila mmoja akabeba msalaba wake!
Kwahiyo isingewezekana mwaka 2005 Babu Duni wa CUF kisima na Zito kwenye jukwaa la chadema ambayo ilikuwa inakubalika sana Kigoma mchini na kaskazini.
 
Hizi ni riwaya za marehemu musiba na star wetu ni Willy Gamba
Je riwaya gani unaikubali katika hizo ambayo star wetu alicheza vizuri sana?
Mimi ni kufa na kupona Je wewe?
Sababu gani ukapenda riwaya hiyo?
Wahenga mnasemaje kuhusu riwaya hiyoView attachment 2266606
Hizi riwaya zote ni moto wa kuotea mbali lakini kwa upande wangu HOFU ninaikubali zaidi kutokana na namna Willy Gamba alivyofanikiwa kuwaangamiza makaburu wale waliokuwa wamepanga kuleta maafa makubwa kwa kuwaua viongozi wa kiafrika waliokuwa wamehudhuria kwenye mkutano jijini Arusha.
 
Hizi ni riwaya za marehemu musiba na star wetu ni Willy Gamba
Je riwaya gani unaikubali katika hizo ambayo star wetu alicheza vizuri sana?
Mimi ni kufa na kupona Je wewe?
Sababu gani ukapenda riwaya hiyo?
Wahenga mnasemaje kuhusu riwaya hiyoView attachment 2266606
Umenipa hamu ya kwenda kuvipitia tena!.
Bahati mbaya au nzuri kuna watu wameviingiza humu jf na blogg nyingine mtu ukiwa na mb una download na kuvisoma bure.
Haipendezi kutokana na kulinda haki za waandishi lakini ndio hivyo wahuni walishafanya mambo yao.
 
Back
Top Bottom