JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

1753286331611.jpg
 
Hawa ni Lodi Lofa na Sokomoko wa WAMASA, Wachapaji Maandishi wa Sani; Na Said Bawji. Tuko Form II enzi hizo, kila toleo la Sani ilikuwa ni lazima nilisome. There was a very nice guy. alikuwa ananunua halafu ananipa na mimi nisome. Mimi sikuwa na uwezo wa kununua, ila yeye alikuwa nao na hakuwa mchoyo. Nilikuwa na-enjoy sana kusoma Jarida la Sani
Safi sana,pongezi kubwa Kwa huyo jamaa maana alikuwa na utu ndani yake
 
Back
Top Bottom