JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Boyz II MEN
JamiiForums-1033748756.jpg

Jr[emoji769]
 
Hawa ni Lodi Lofa na Sokomoko wa WAMASA, Wachapaji Maandishi wa Sani; Na Said Bawji. Tuko Form II enzi hizo, kila toleo la Sani ilikuwa ni lazima nilisome. There was a very nice guy. alikuwa ananunua halafu ananipa na mimi nisome. Mimi sikuwa na uwezo wa kununua, ila yeye alikuwa nao na hakuwa mchoyo. Nilikuwa na-enjoy sana kusoma Jarida la Sani
 
Una picha yako ya zamani? Ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF?
Mimi naanza na hizi.. Si ngeni machoni mwenu... Nawe weka yako/zakoView attachment 1457109View attachment 1457110

Jr[emoji769]
Uzi huu nimeupenda sana, sana tu yaani. Umenirudisha mbali sana.
Unaweza pia ukapata collection ya picha za wazee wa zanmani kabisa hasa wa kijijini, ambao wengi wao walikuwa hawajui kusoma wala kuandika, na ambao walikuwa wanapokutana, kama hawajuani, ili kuweza kujua nani mkubwa kati yao, walikuwa wanaanza kuulizana maswali kama haya: WAKATI ANATAWALA MJERUMANI WEWE ULIKUWA RIKA GANI? NA WAKATI ANATAWALA MUINGEREZA JE? Matukio haya ya watawala ndiyo yalikuwa yanapelekea kujua nani mkubwa kati yao,au wanalingana
 
Hawa ni Lodi Lofa na Sokomoko wa WAMASA, Wachapaji Maandishi wa Sani; Na Said Bawji. Tuko Form II enzi hizo, kila toleo la Sani ilikuwa ni lazima nilisome. There was a very nice guy. alikuwa ananunua halafu ananipa na mimi nisome. Mimi sikuwa na uwezo wa kununua, ila yeye alikuwa nao na hakuwa mchoyo. Nilikuwa na-enjoy sana kusoma Jarida la Sani
Very famous by then... Jamaa alipofariki gazeti likapoteza umaarufu wote

Jr[emoji769]
 
Uzi huu nimeupenda sana, sana tu yaani. Umenirudisha mbali sana.
Unaweza pia ukapata collection ya picha za wazee wa zanmani kabisa hasa wa kijijini, ambao wengi wao walikuwa hawajui kusoma wala kuandika, na ambao walikuwa wanapokutana, kama hawajuani, ili kuweza kujua nani mkubwa kati yao, walikuwa wanaanza kuulizana maswali kama haya: WAKATI ANATAWALA MJERUMANI WEWE ULIKUWA RIKA GANI? NA WAKATI ANATAWALA MUINGEREZA JE? Matukio haya ya watawala ndiyo yalikuwa yanapelekea kujua nani mkubwa kati yao,au wanalingana
Uko sahihi kabisa kaka

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom