Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Pole yakoZimeisha!?
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole yakoZimeisha!?
Jr[emoji769]
Hawa ni Lodi Lofa na Sokomoko wa WAMASA, Wachapaji Maandishi wa Sani; Na Said Bawji. Tuko Form II enzi hizo, kila toleo la Sani ilikuwa ni lazima nilisome. There was a very nice guy. alikuwa ananunua halafu ananipa na mimi nisome. Mimi sikuwa na uwezo wa kununua, ila yeye alikuwa nao na hakuwa mchoyo. Nilikuwa na-enjoy sana kusoma Jarida la Sani
Maongezi ya hawa watu nayafananisha KAMA ya JPM na Mungu
M-sure je? Kariakoo -----Gongolamboto-----mwisho wa lami! Bibi yenu kipindi hicho alikuwa anamalizia chuo, halafu mimi nilikuwa na ofisi yangu binafsi pale mwisho wa lamiView attachment 1458328 ubungo kariakoo,kama ulipanda hii utakuwa umekula chumvi hadi magadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu vilikuwa vinaitwa "Raise on" au kwa Laizon, (kwa kilugha chetu vilijulikana kama gongo) na suruali Pekosi. Unaweka na ile saa ya kudim al-maarufu disco. Hapa ni mwaka 1980 na kuendelea! Umenikumbusha mbali sana.
Uzi huu nimeupenda sana, sana tu yaani. Umenirudisha mbali sana.Una picha yako ya zamani? Ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF?
Mimi naanza na hizi.. Si ngeni machoni mwenu... Nawe weka yako/zakoView attachment 1457109View attachment 1457110
Jr[emoji769]
Very famous by then... Jamaa alipofariki gazeti likapoteza umaarufu woteHawa ni Lodi Lofa na Sokomoko wa WAMASA, Wachapaji Maandishi wa Sani; Na Said Bawji. Tuko Form II enzi hizo, kila toleo la Sani ilikuwa ni lazima nilisome. There was a very nice guy. alikuwa ananunua halafu ananipa na mimi nisome. Mimi sikuwa na uwezo wa kununua, ila yeye alikuwa nao na hakuwa mchoyo. Nilikuwa na-enjoy sana kusoma Jarida la Sani
Uko sahihi kabisa kakaUzi huu nimeupenda sana, sana tu yaani. Umenirudisha mbali sana.
Unaweza pia ukapata collection ya picha za wazee wa zanmani kabisa hasa wa kijijini, ambao wengi wao walikuwa hawajui kusoma wala kuandika, na ambao walikuwa wanapokutana, kama hawajuani, ili kuweza kujua nani mkubwa kati yao, walikuwa wanaanza kuulizana maswali kama haya: WAKATI ANATAWALA MJERUMANI WEWE ULIKUWA RIKA GANI? NA WAKATI ANATAWALA MUINGEREZA JE? Matukio haya ya watawala ndiyo yalikuwa yanapelekea kujua nani mkubwa kati yao,au wanalingana
Namaanisha maongezi yao perce, na siyo posture yao.Ila Mungu habebi bisibisi
Jr[emoji769]