JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Kwenye siasa hakunaga urafiki

Ova
Ina maana hata hawa wanaaoonekana wanashirikiana kisiasa si marafiki?

Yaani hadi jamaa kamuua mwenzie[emoji26],kwanini asiongee naye tu kumwambia Kama naye anatamani kuwa Rais!?!
 
Jamaa ametumia maneno mengi kueleza sio dokta

Unakuja kumjibu kwa status ileile halafu kwa ufupi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Anajua najua ila napenda tu kumuita vile.

Halafu Dr inaweza kuwa ufupisho wa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]you never know[emoji4]
 
  • Thanks
Reactions: T11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Anajua najua ila napenda tu kumuita vile.

Halafu Dr inaweza kuwa ufupisho wa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]you never know[emoji4]
Sawa Sawa ila nimecheka sana
 
Sawa Sawa ila nimecheka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha tufurahi mkuu.

Hata yeye mwenyewe nahisi alivyosoma akacheka tu[emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: T11
0E167D65-23C3-4D49-8872-35B958B66B83.jpeg

Sara Baartman aka Hottentot Venus(1979- December 29 1815)
STORI YA KUSIKITISHA

Alikamatwa kama mtumwa huko Afrika ya kusini na alishikiliwa kwa muda kadhaa kabla ya wale wamiliki wa watumwa kugundua kwamba ana maumbile ya ajabu sana ambayo hawajawahi kuyaona. Akiwa na wowowo kubwa na matiti makubwa sana.Wakaanza kumtumikisha kingono na inakadiriwa alibakwa na kunyanyaswa kijinsia mara 400 wakaona hio haitoshi wakampeleka Paris France ambako walianza kumfanyia maonyesho kama zoo wakimzungusha mijinmbalimbali na wanaume wakija kumshangaa maumbile yake na mwenye hela anamnunua kwenda kulala nae.Alitumika kwa njia hiyo mpaka akachoka sana na akaanza kudhoofika na baadae alifariki. Uchunguzi baada ya kifo(autopsy) unaonesha kwamba alikua na inflammatory ailment, smallpox, syphilis, mild yeast infection na maambukizi mengine mengi ya bacteria.Haikuishia hapo baada ya kifo chake Dec 1815 waliukata kata mwili wake(Disection) wakatoa Ubongo wake, skeleton yake na sehemu za siri pamoja na nyonyo wakzaiweka Makumbusho(Paris Museum) kutangaza mwanamke aliyekua na maumbile ya ajabu mpaka mwaka 1974 nchi mbalimbali zilipoanza kupiga kelele juu ya udhalilishaji huo na hatimaye mwaka 2002 mwili wake ulirudishwa kwa Afrika ya Kusini na kuzikwa kwa heshima
36987221-964E-4341-ACA8-48B476D47AFD.jpeg
3191FC48-EA72-40DF-90DB-FC7AD25A9C5A.jpeg
696B0A75-76FA-4B70-863A-7E432FC9511C.jpeg
F89E841C-825A-437D-95EE-70791014E9FC.jpeg
C601F59E-4738-406E-87AD-830C73DB44F8.jpeg

cc Rostema utakuja kuongezea nyama na mie nimeandika fasta fasta #bluemonday si unajua
 
Sijui nani anakumbuka ile meli iliyokuja kutusaidia Patrol miaka ya 2000 mpaka tukakamata wavuvi haramu (Samaki wa Magufuli) wakati JPM akiwa wizara ya Uvuvi na Mifugo

Basi hii ni Meli kubwa ya kufanya doria baharini (Offshore Patrol Ship) inayomilikiwa na Serikali ya South Africa na ilikuja kwa ushirikiano wa SADC

Hii meli ilianza kuundwa mwaka 2003 na ilipewa jina kwa heshima ya huyu mama inaitwa Sara Baartman
3776346E-9A99-415A-9CF9-9282E2EC0BCD.jpeg
5335C0DA-CB15-420F-9EE5-133E00631CBC.jpeg
 
Back
Top Bottom