JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Oh jamani [emoji26]
Aliuliwa Akiwa bado mdogo
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.

Akhsante Sana dr kwa habari hii nzuri.
Ndio urafiki wa kisiasa huwaga hivi.
Ni urafiki wa kinafiki nafiki hivi.

Btw kuweka rekodi sawa, mie sie daktari, japo nilitamani sana kuwa daktari wa moyo wakati nikiwa mdogo ilifikia wakati hadi kuwa nafanyia operesheni panya na mende.
Ila ndio hivyo Mola hakupi unachotaka bali unachostahili.

Japo hadi leo napenda sana masuala ya utabibu na nayafuatilia sana mitandaoni, ofisini mtu akiumwa kabla hajaenda hospitali lazima anione kwa ushauri na mara nyingi huwa napatia anachoumwa
Na hata akirudi hospitalini na dawa hamezi hadi anione na ashauriane na mimi.
Ila nitajitahidi sana na Mungu anisaidie kumfanya mwanangu angalau mmoja kuwa daktari In sha allah.
 
Amen Dr[emoji4]
 
Wahenga
FB_IMG_1596464064350.jpeg
FB_IMG_1596294321370.jpeg
 
Mkuu mimi naona atujitendei haki kabisa... kutokuwa na hata ka kituo cha historia hii adhimu...tunalala sana ila ni kitu ambacho kitatufaa sana huko mbeleni....tena ingefaa kiwekwe kule moro ambako ndiko kulikuwa na kambi nyingi za ukombozi.
Nimezingatia sana hii point yako tunaweza kufanya kitu ujue nje ya serikali
 
Back
Top Bottom