THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Ndio urafiki wa kisiasa huwaga hivi.Oh jamani [emoji26]
Aliuliwa Akiwa bado mdogo
Kweli kikulacho ki nguoni mwako.
Akhsante Sana dr kwa habari hii nzuri.
Ni urafiki wa kinafiki nafiki hivi.
Btw kuweka rekodi sawa, mie sie daktari, japo nilitamani sana kuwa daktari wa moyo wakati nikiwa mdogo ilifikia wakati hadi kuwa nafanyia operesheni panya na mende.
Ila ndio hivyo Mola hakupi unachotaka bali unachostahili.
Japo hadi leo napenda sana masuala ya utabibu na nayafuatilia sana mitandaoni, ofisini mtu akiumwa kabla hajaenda hospitali lazima anione kwa ushauri na mara nyingi huwa napatia anachoumwa
Na hata akirudi hospitalini na dawa hamezi hadi anione na ashauriane na mimi.
Ila nitajitahidi sana na Mungu anisaidie kumfanya mwanangu angalau mmoja kuwa daktari In sha allah.