Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ina maana hata hawa wanaaoonekana wanashirikiana kisiasa si marafiki?Kwenye siasa hakunaga urafiki
Ova
Yaani hadi jamaa kamuua mwenzie[emoji26],kwanini asiongee naye tu kumwambia Kama naye anatamani kuwa Rais!?!