JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Mwakyembe mutu ya digrii. Yaani alikuwa radhi kutumia mshahara wake kuwafunga wliomdhulumu Mzee Majuto, bdala ya kutumia mshahra wke kumsaidia (kumuinua) mzee wa watu? Ajabu sana.
 
Mwakyembe mutu ya digrii. Yaani alikuwa radhi kutumia mshahara wake kuwafunga wliomdhulumu Mzee Majuto, bdala ya kutumia mshahra wke kumsaidia (kumuinua) mzee wa watu? Ajabu sana.
Kunanpastor mmmoja wa kijitonyama Kkkt alikuwa anahubiri anasema nashangaa mtu mwenye PhD anamwomba raisi kuwa amsaidie asimtoe kwani hana pa kwenda!

Sasa mwakyeeemb.e nahisi ubrain wake upo kwenye kundi moja sawa na huyo mwanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…