JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Picha Historia.

Pichani ni Ndugu Reginald Mengi na Bi Mercy Anna Shangali walipofunga ndoa, mchana wa Tarehe 27 Novemba 1971. Bi Mercy ambaye baadae alitambulika kama Mama Mercy Mengi alikuwa Binti wa Chief Abdiel Shangali.

Mzee Mengi na Bi Mercy walibarikiwa watoto watatu, Regina, Rodney and Abdiel.

Bi Mercy aliifariki Dunia tarehe 31 Oktoba 2018 akipatiwa huko Afrika Kusini. Miezi 8 tu baadae, yaani tarehe 2 Mei 2019, Mzee Mengi pia aliifariki Dunia akiwa Dubai.

Wapumzike kwa Amani.
Francis Daudi
Central Park Café, Dar
05-02-2022
 
Pauline Moloise (far left) and Winnie Mandela (far right) mourn at the memorial service for Moloise's son Benjamin, who was hanged earlier that morning. Khotso House, Johannesburg, Oct. 18, 1985.
#apartheid #winniemandela #paulinemoloise #hanging #southafrica #johannesburg
 
Picha ya mwisho kupiga Mwalimu Nyerere katika Maisha yake
Wakati Leo CCM inasherekea miaka 45 ya kuzaliwa Kwa Chama hicho,
Leo nimeamua kukuletea picha ya mwisho ya Mwalimu Nyerere,
Picha unayoiona hapo Chini ndio picha ya mwisho kupigwa na Mwalimu enzi za uhai wake,
Picha hii ilipigwa tarehe 17 September 1999 saa tatu na dakika ishirini za Tanzania,
muda mfupi kabla ya baba wa taifa kupanda ndege kuelekea London -Uingereza kwa matibabu,
hii ndiyo picha yake ya mwisho kupiga akiwa hai hapa duniani,
" Ninajua nitakufa sitapona nawaomba watanzania waipende nchi yao waipende Kama wanavyowapenda mama zao maana hawana nchi nyengine".
Huu ulikua wosia wa mwisho wa BABA WA TAIFA kwa Taifa lake.
Pumzika kwa amani Mwalimu Nyerere Baba wa Taifa la Tanzania.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…