JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Historia tamu sana hizi.[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kama alijua atakufa kwanini alienda huko?
 
Kifo kilikuwa kinamuita na asingeweza kukataa wito
Aisee,inawezekana hata hayo maneno hakuyasema,CCM hawaminiki hasa nikikumbuka yaliyosemwa siku za mwisho za Mwendazake.

PM-Yupo mzima anapitia mafaili ofisini
Makamu-Kukaguliwa afya ni kawaida yupo mzima


Baadae tukaambiwa mara aliendesha ibada dakika za mwisho,sijui akaongea maneno mengi,kwahio kuamini nakua mzito kidogo.
 
Aisee,inawezekana hata hayo maneno hakuyasema,CCM hawaminiki hasa nikikumbuka yaliyosemwa siku za mwisho za Mwendazake.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…