JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Hussein Jumbe amefariki dunia. Katika uhai wake Hussein Jumbe aliimba katika bendi tofauti zikiwemo bendi za Msondo Ngoma na DDC Mlimani Park. Nyimbo zake maarufu ni pamoja na Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Mapenzi ya Siri na Nipe kitambaa.
 
Alianzia mpira wake mitaa ya Gerezani baadaye alichezea yanga
Anaitwa John Mwansasu
Beki la mpira
Wahenga karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…