JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Huyu anaitwa NORBERT CHENGA
ALIKUWA KIONGOZI WA KUNDI LA MUUNGANO
Alikuwa na uwezo wa kucheza na nyoka
Unakumbuka enzi la kundi la muungano
 
Wachezaji wa zamani wa yanga
Kutoka kulia john mwansasu
Marehemu katuba
Keneth mkapa
 
Alikuwa mwanamuziki wa mwanzo wa NUTA JAZZY BAND
Marehemu MABRUKI KHALFAN ukipenda UYUKI HONDOHONDO
Alikuwa anapiga drum,besi na mtunzi hodari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…