Ilikuwa mwaka1991 wakati huo nahodha wa simba zamoyoni mogella akijulisha wachezaji wa simba kwa mgeni rasmi Mheshimiwa JAKAYA MRISHO KIKWETE
Mwenye mashindano ya afrika mashariki na kati yalifanyika dar es salaam
Ili ilikuwa mechi ya simba na yanga
Marehemu omari mahadhi bin jabiri akiruka juu kuokoa hatari
Mechi ilifanyika tarehe 4-10-1980
Simba iliifunga yanga mabao 3-0
Mabao ya marehemu ABDALLAH MWINYIMKUU
THUWENI ALLY
NICCO NJOHOLE
Thank you Mr. DJ for playing my song
Thank you, thank you
I've been waiting so long
Thank you Mr. DJ for playing my song
Thank you, thank you
My love is so strong.....Tgif!!!