JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani


Mwanajeshi wa kiTanzania(Isomeke Tanganyika) aliyepigana vita ya kwanza ya Dunia WWI akiwa upande wa Ujerumani

Joseph Mambo alizaliwa 1885 Tanga na akachukuliwa na wajerumani akiwa mtoto mwaka 1897. Alitumikia kikosi cha 3rd Prussian Grenadiers katika vita ya kwanza ya Dunia 1914-18
 
Kesho tutaendelea nilipoishia kwenye Stori ya Chama cha ushirika Meru,Coronation ya Malkia Elizabeth & Ziara ya Princess Magreth
[emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mwaka 1972, Presida Nyerere aliwaita nchini TZ mabalozi wote wa Tanzania waliokuwa nchi za nje kuja kuchukua mafunzo maalumu ya kijeshi ili kupunguza vitambi vyao.
 

Attachments

  • IMG_20200801_002433.jpeg
    52.8 KB · Views: 49
  • IMG_20200801_002426.jpeg
    50.4 KB · Views: 51
  • IMG_20200801_002433.jpeg
    52.9 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…