JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani


Kitwana Kondo alikua mcheza ngoma mzuri sana. Inasemekana wakati wa mapambano ya uhuru alikua anakaa nje ya Jengo la Yanga pale wakati vikao vinaendelea ndani(Mwalimu na wanachama wengine) yeye anacheza ngoma na wenzake pale basi mkoloni anajua kuna ngoma tu pale kumbe ndani kuna mipango ya kumng'oa arudi kwao Uingereza

Kitwana Kondo alikuja kuwa Meya wa Dar es Salaam
 
nimeziona hizo like tu Mkwepu style ningeshangaa usingetia neno[emoji1][emoji1]

Tumetoka mbali sana. Ngoja nitafute na zile kura zilizokua hazina hata picha zina Jembe, Nyundo nk[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee
Ilidondoka wakati wa maonyesho!?[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio ilikua kupokea mashujaa wa vita sasa wakati wa maonyesho ikapata hitilafu na Rubani alijitahidi sana isiangukie ndani ya uwanja kwakua ulikua full ingekua maafa akaidondoshea nje ya uwanja mmoja alishindwa ku eject na parashuti akafia humo mwingine ali eject ila alitua vibaya alikuja kukutwa juu ya mti maeneo ya kariakoo kama sikosei. Walikufa kishujaa na mazishi yao yaliongozwa na Mzee Rashid Kawawa

Saluti to the fallen Heroes😭😭

 
Jamani [emoji1751][emoji26]
Aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo habari sio za kweli.
Kitwana Kondo hakuwa mpigania uhuru bali alikuwa upande wa mkoloni.

Kitwana Kondo KK
Alikuwa Special Branch(Kachero/Tiss)wa Serikali ya kikoloni kazi yake pamoja na mambo mengine ni kupeleka taarifa za kishushushu na harakati za Tanu kwa Bwana Gavana Sir Richard Tunbull pale Government House(Ikulu)

Baadae akaja kuwa Meya maarufu sana wa Jiji la Dar Es Salaam na kisha kuwa Mbunge wa Kigamboni.
Alikuwa rafiki sana na Rais Ali Hassan Mwinyi.
Alifariki mwaka juzi 2017 nyumbani kwake Upanga.
 
Kuna uzi wa selfika nimekutag.
Ukipata muda pita tena kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…