JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

Napenda picha za jakaya kikwete akiwa kijana, yaan nataman km ningekua kipindi hiko afu tuwe na ukaribu lol,
Pz tupieni picha za jakaya akiwa kijana, tena zile amevaa casual uwiiiiiiiiiiiiii
 
Nilisoma Historia Primary School tu ila baada ya Hapo ni Ufundi(Mazengo na kina Ngwea) na Science kwenda mbele

Ni Hobby tu[emoji16][emoji16]
Dah...! Mimi ushirikina na ulozi[emoji2827][emoji2827][emoji2827] yani ni hobby tuu ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…