Weka dibaji
Una picha yako ya zamani? Ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF?
Mimi naanza na hizi.. Si ngeni machoni mwenu... Nawe weka yako/zakoView attachment 1457109View attachment 1457110
Jr[emoji769]
Heheee.huyu jamaa alovaa suti nyekundu.