THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Sema cha Kumlinda baba akePia ni mkuu wa kitengo maalumu cha kumlinda rais.
Sema Rais ajaye( Anayeandaliwa)Sema cha Kumlinda baba ake
Mzee Museveni
ila kuna jamaa anaonekana ushamba aliuanza zamani sana
Maroon
ila mimi simoNachelea kumtaja
Dah wamarekani hawatamsahauView attachment 1698697mzee alikuwa mwamba sanaaa
Boss Mshana Jr haya makoti alikua ananunua buku buku nini pale Ilala sokoni?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Boss Mshana Jr haya makoti alikua ananunua buku buku nini pale Ilala sokoni?
Dah uzee haufai
Mwamba mpka kwa pilato alikuwa jasiri kwa kuwapasha ya kweli