JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

View attachment 1714568
2/10/1967 Nyerere akiwa na mkuu wa kwanza wa JKT(ASP David Nkulila) kushoto na kulia ni ndugu Gondi wakiwa Arusha kuweka jiwe la msingi ujenzi wa nyumba za wanajeshi.

Angalia kwanza uniform za mwanzoni za JKT( kabla haijaunganishwa na JW)

Na pia kaa ukijua zamani mkuu wa kwanza wa JKT alitokea polisi

Wakati ukuta aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…