JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani


Mkama Sharp Chombo cha dolaπŸ˜‚πŸ˜‚
Alikua na uwezo wa kukamata vibaka 30 Kariakoo na akawapangisha foleni wanaelekea kituo cha Polis msimbazi wenyewe yeye yuko nyuma yao

Uwanja wa Taifa(Shamba la bibi) kwenye mechi alikua anapanda farasi halafu ana mbwa na redio call na bastola na mabomu ya machozi kiunoni na SMG mkononi
 

Dedan Kimathi(Kenya) kiongozi wa Mau Mau(Wapigania Uhuru)

Wanajeshi wa Uingereza walikua wanamfahamu kwa jina tu bila kumjua sura. Ila alivyo mwamba akaenda kuwaachia hii picha yuko na mdogo wake kwenye kambi ya Jeshi la wazungu ili wasihangaike kumfahamu( Achana na hiyo sigara kubwa ya mdogo wakeπŸ˜‚πŸ˜‚)
 
Duh....
 
Hawa ndio walikuwa vigego[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kumbe toka zaman bang ilikuwa mbaya hvyo!!!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…