Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Kwa mbaali pale nikamuona Lodi Lofa[emoji848]Una picha yako ya zamani? Ya jamaa yako? Ya ndugu yako? Ama ya mtu yoyote anayejulikana na wengi ungependa ku share nasi ili tutengeneze super album ya JF?
Mimi naanza na hizi.. Si ngeni machoni mwenu... Nawe weka yako/zakoView attachment 1457109View attachment 1457110
Jr[emoji769]
Dingi anaonekana alkua mtu wa swaga sana
Aiseee, hio suti...
Gwiji
Nimelipenda Sana koti la mh.
Mkuu kweli hapangiwi hahaaahKiukweli hii suti ya mkuu inachekesha ndio maana Idris alichekaView attachment 1457207
Sent using Jamii Forums mobile app