toponyondo
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 169
- 94
LA nn?Mbona hamtaki kuongeza Jukwaa la Jf safari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LA nn?Mbona hamtaki kuongeza Jukwaa la Jf safari?
Just update itNdio natumia App
Ok asante nitafanya hivyoJust update it
Lakini ulipita mulemule......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya
Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari.Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya
Mimi nakuruhusu ukitaka kutoa mfano wowote nitolee mimi mkuu.Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya
[emoji867]
Tumeshaomba sana hili. Basi kama anadhani halina umuhimu aanzishe poll tupige kura.Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari.
akikujibu hili nipigwe banMax please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari.