That was a strategic move, inaitwa "regrouping", Nyinyi vizazi vya siku hizi hamuwezi kujua all that. Hata hivo nia ya kurudisha hizo tittles ilikuwepo tu, nyinyi hamja tulazimisha kwa chochote. mmepanga tu siku yenu iangukie siku mkuu Invisible alipanga kurudisha halafu mnataka ku-claim victory for that action.
Wawezampa shikamoo hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/193113-shikamoo-invisible.html
teh teh teh klorokwini mie nikikuona wewe roho yangu ina badilisha
mlio wa mapigo ya moyo inakua "lipu" 'lipu' 'lipu' nikisoma koment zako rahaaa kwenda mbele!
Hehehe hii post yako acha niitumie kwa self service, manake hapa nilipo ushaniponda ponda taabani, Mi nazani imefika wakti muafaka mods waweke webcams huku PM. maneno bila kuoneshana hainogi
Hehehe hii post yako acha niitumie kwa self service, manake hapa nilipo ushaniponda ponda taabani, Mi nazani imefika wakti muafaka mods waweke webcams huku PM. maneno bila kuoneshana hainogi
Labda yupo kwa kibabu chake.
heheh na huyo ndio kloro.....mwengine fogale!
Kuna haja kweli? mbona siku ile uliniona kwenye web cam, hukuridhika?
hio service unataka kutumia wacha na mimi nijaribu. teh teh teh.
That was a strategic move, inaitwa "regrouping", Nyinyi vizazi vya siku hizi hamuwezi kujua all that. Hata hivo nia ya kurudisha hizo tittles ilikuwepo tu, nyinyi hamja tulazimisha kwa chochote. mmepanga tu siku yenu iangukie siku mkuu Invisible alipanga kurudisha halafu mnataka ku-claim victory for that action.
Nipo mpenzi. Hogera sana kwa kua senior expert member.Mwali was wondering ukwap leo hujanitembelea kwenye thread ya pongezi. teh teh teh
Nipo mpenzi. Hogera sana kwa kua senior expert member.
Cheo kikubwa hicho, usitimue vibaya kama kina fulani :tape:
Sasa umesha amua utaspecialize katika nini? (suali la kizushi)
Sasa hakikisha unakuwa Premium Member kwa hii IDYeyiiiiiii. Cheo kimepanda. :msela:
Marafiki na Wapenzi wote, Karibuni tusherehekee.
Mwaaaah.