Alijiua? Hii ni uthibitisho kuwa wengi waliodesparate kutafuta wapenzi mitandaoni wana matatizo ya kisaikolojiapole mkuu,we tembea kifua mbele,usisikilize ya watu,mitandaoni unawezakupata true love,mimi nilipataga muhindi mmoja huko telegram alinipenda kuliko wanawake wote niliowahi kuonana nao, alikuwa anaishi kenya hapo bahati mbaya alijiua
ndio alijiua,sababu alikuwa na stress kibao na wakati huo sikuwepo nilikua busy sanaAlijiua? Hii ni uthibitisho kuwa wengi waliodesparate kutafuta wapenzi mitandaoni wana matatizo ya kisaikolojia
Wa jf ndio sisi sisi wa mtaani mkuu
Umempenda mtu mwambie muanze kuzagamuana usiogope maneno ya watu
Maisha yenyewe mafupi haya jamani
Jamani sijaona sijapata notification ngoja nirudie post zanguHeri ya mwaka mpya we bi mkubwa, kuna mahali nimekuchokoza lakini hukuchokozeka...
Jamani sijaona sijapata notification ngoja nirudie post zangu
Heri ya mwaka mpya na kwako we mzee
Kama ulinimention ni mtihani notification kupata nashukuru sana we mzee sijambo huwa nakuonaga kwa mbali napita tu nakusabahi kimya kimya naendelea na safari zanguKwa kuwa nimekuona hapa yote kheri tu, nilitamani kukusabahi kwa wakati huo!
Ndio maana ulinipiga kibuti?Alijiua? Hii ni uthibitisho kuwa wengi waliodesparate kutafuta wapenzi mitandaoni wana matatizo ya kisaikolojia
Kama ulinimention ni mtihani notification kupata nashukuru sana we mzee sijambo huwa nakuonaga kwa mbali napita tu nakusabahi kimya kimya naendelea na safari zangu