Jf sio kisiwa

Jf sio kisiwa

ABINALA

Senior Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
134
Reaction score
55
Habari wapendwa wana jamvi LA jf!
Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf!
Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao kanisani, kisimani,sokoni nk.
Hivyo basi napenda kuwahusia wale wanaotukandia sisi tuliojipatia wenza hapa kuwa wanachama wa jf ndio haohao tunaokutananao mtaa tofauti ni kwamba hapa tunapata nafasi ya connection kwani ni vigumu kujua MTU anayetafuta mwenza kwa kumtazama tu huko njiani, kanisani, kisimani nk
So jf hutusogeza karibu na watu tofauti wenye mahitaji tofauti
 
pole mkuu,we tembea kifua mbele,usisikilize ya watu,mitandaoni unawezakupata true love,mimi nilipataga muhindi mmoja huko telegram alinipenda kuliko wanawake wote niliowahi kuonana nao, alikuwa anaishi kenya hapo bahati mbaya alijiua
 
pole mkuu,we tembea kifua mbele,usisikilize ya watu,mitandaoni unawezakupata true love,mimi nilipataga muhindi mmoja huko telegram alinipenda kuliko wanawake wote niliowahi kuonana nao, alikuwa anaishi kenya hapo bahati mbaya alijiua
Alijiua? Hii ni uthibitisho kuwa wengi waliodesparate kutafuta wapenzi mitandaoni wana matatizo ya kisaikolojia
 
ngoja mr right ikianza msimu wa pil nitafute ukajchagulie bby zakwenda kabsa
 
Tatizo la jf ni kwamba wengi Humu wanatumia fake ids na pictures.

Humu Uwezekano wa kukutana na strangers Ni mkubwa Sana.

Kwaiyo,
Bado haiondoi ukweli kua Ni sehemu ya watu waliodesparate Sana na mahusiano.

Mtu normal na unaejithamini na kujiamini,

Kamwe huwez tafuta mtu wa kuishi nae maishani na kushare nae Siri zako na madhaifu yako kwa Njia ya kubahatisha bahatisha Kama vile unabeti gizani,

Zaman hata kabla hujatongoza tulikua mtu anafatilia Hadi familia ya mtu alikozaliwa, ukoo wake, wazazi wake, magonjwa yao n.k

Ukishajiridhisha ndo unakaenda kumwambia binti,
"Ebana eeh mi nmekupenda, nataka uje uwe mke wangu"[emoji4]

Can you imagine,
Huo MDA wa kuchunguza hayo kabla kwa mtu wa JF unautoa wapi?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijiua? Hii ni uthibitisho kuwa wengi waliodesparate kutafuta wapenzi mitandaoni wana matatizo ya kisaikolojia
ndio alijiua,sababu alikuwa na stress kibao na wakati huo sikuwepo nilikua busy sana
 
Na kweli tupo hukuhuku mitaani, mi jirani hapa nimejua kuwa yupo huku niliona anavyochati ila yeye hajui kama nimo humu wala jina ninalotumia
 
Kama ulinimention ni mtihani notification kupata nashukuru sana we mzee sijambo huwa nakuonaga kwa mbali napita tu nakusabahi kimya kimya naendelea na safari zangu

Ooh! ilikuwa ni mention labda ndio maana...

😊 Sisi wazee lazima tupite huku kutazama tazama maua kama nyie, JF bustani hii watu hawajui tu...
 
Back
Top Bottom