JF special thread kwaajili ya Facts

Nilikuwa sijui hii
 
People with low-self esteem are 80% more likely to critisize others or put them down in order to make theselves feel better, tougher and smarter, but people who are confident with themselves are more likely to take things as they are and enjoy them
 
Kuhusu Ubboo! Kwanza Ubboo hauna Mfupa! Pili Ubboo mfupi hudinda zaidi ya ubboo mrefu! Ubboo unaweza kuvunjika (japo hauna mfupa) endapo utakunjwa kwa nguvu ukiwa umedinda! Mimba ikiweza kuonekana ktk Ultra sound, na km ni ya mtoto wa kiume, ubboo pia huonekana! Hii manake, picha ya Ultra sound ikiinyesha kichanga pasi na Ubboo basi huyo ni mtoto wa kike!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Thamani yako haipo kwenye kile unachojua au elimu kubwa uliyonayo bali ipo kwenye kile unachochangia kwenye jamii yako.


Wengi tunaokutana nao kwa mara ya kwanza huuliza tunafanya kazi gani, tumeoa au kuolewa, tunaishi wapi n.k maswali huwa kama mtu anavyouliza bidhaa za nyumbani dukani ila wengi husau kuuliza swali la msingi, kama tuna furaha au huzuni maishani.




Yeyote anayeacha kujifunza ni mzee bila kujali ana miaka 20 au 80. Mtu anayejifunza kila siku hubaki kijana. Kitu kikubwa maishani ni kuendelea kkuweka ubongo wako kwenye ujana
 
Akili yako hukubali na kuamini chochote unachoiambia. Ilishe akili yako maarifa, ukweli, matumaini na upendo. Akili yako ikiwa na vitu hivi, unaweza kutenda kwa ufanisi bila kuwaaumiza wengine kihisia, kimwili na kiuchumi


Unapodhani huwezi kufanya kitu fulani basi mfumo wa mwili kibaiolojia huanza kudhihirisha kile unachodhani huwezi. Huwezi kufanya kile unachofikiri huwezi kukifanya. Siri ya mafanikio ni pamoja na kujiamini kuwa unaweza na mwisho utaweza.
 
Moyo wenye shangwe ni dawa nzuri, lakini roho iliyopondeka huikausha mifupa.”—Methali 17:22.

Kati ya tukio na muitikio wako juu ya tukio lilitokea kuna nafasi. Nafasi ya kuamua nini cha kufanya. Uamuzi mzuri unakupa nguvu na uhuru ila uamuzi mbaya unaweza kuharibu amani ya moyo & akili kwako au kwa wengine
 
Google Earth was originally called Earth Viewer and was created by Keyhole, Inc., a company who were partially funded by the CIA via venture capital firm In-Q-Tel that invests in high-tech companies for the sole purpose of keeping the CIA equipped with the latest in information technology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…