JF special thread kwaajili ya Facts

Indian businessman Balwinder Sahani paid 33 million dirhams ($9 million) for a Dubai license plate for one of his Rolls Royces.
Karibia bilioni moja za KE na bilioni 20 za Tz. Kudadadeki! Pesa za private island 🏝 hii jamani, mtu anachukua plate number ya gari !?... 😂 😂 😂 Wacha nizisake!
 
Hii ndo inaitwa tumia pesa ikuzoeee
 
Hata ikiwa kazi unayofanya inaonekana kuwa ya hali ya chini au si kazi uliyopenda kufanya maishani, jitahidi kuboresha ustadi wako katika kazi hiyo. Kufanya kazi kwa bidii kutafanya uhisi kwamba umetimiza jambo fulani muhimu, na kuboresha ustadi wako katika kazi yako kunaweza kukufanya kuridhika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…