JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Confident men don’t feel the need to respond to the slightest provocation coz they’ve too much going on in their lives to waste valuable life on the silly energy consuming drama,
 
Our expectations can create significant stress when they don't match up to reality. Social media can greatly contribute to this: you compare your own worst moments to others' best moments, which very often are filtered to seem perfect
 
Haha,hivi lakini huwa mnafanya nini?...kuna mtu alisema wanaume wanaenda dukani kununua vitu walivyopanga kununua,lakini wanawake wanaenda kununua vitu watakavyovikuta huko[emoji23][emoji23] no wonder wanachelewa kumaliza.
Mwanamke akikienda shopping au sokoni atanunua hata ambavyo vipo nje ya bajeti as long we find them interested, ndio maana unakuta mtu ukipanga kwenda shopping unahakikisha una hela ya kutosha kama bajeti ni 5k inabidi ubebe extra 5k kwa ajili ya yatakayojitokeza, halafu siku hizi naona wadada wengi wanakereka na shopping za kufanyiwa maana unakua limitation au unapangiwa, ila ukiwa na hela yako unajiachia wala hakuna wa kukununia😅😅
 
Mwanamke akikienda shopping au sokoni atanunua hata ambavyo vipo nje ya bajeti as long we find them interested, ndio maana unakuta mtu ukipanga kwenda shopping unahakikisha una hela ya kutosha kama bajeti ni 5k inabidi ubebe extra 5k kwa ajili ya yatakayojitokeza, halafu siku hizi naona wadada wengi wanakereka na shopping za kufanyiwa maana unakua limitation au unapangiwa, ila ukiwa na hela yako unajiachia wala hakuna wa kukununia[emoji28][emoji28]
Hahaha
 
If you perceive that there are four possible ways in which something can go wrong, and circumvent these, then a fifth way, unprepared for, will promptly develop, It will be impossible to fix the fifth fault, without breaking the fix on one or more of the others
 
Back
Top Bottom