π π π Vipi amerusha chombo angani?
Kweli Emaar Properties walitumia Tata steel kwenye ujenzi huo wa Burj Khalifa lakini hiyo haimaanishi kashinda hadi Elon Musk, mtu anarusha vyombo kwenda sayari nyingine mkuu! π€£Ni moja ya walio husika katika ujenzi wa Burj khalifa huko Dubai
Lakini wanasema anampunga hatari sema anatoa sana misaadaKweli Emaar Properties walitumia Tata steel kwenye ujenzi huo wa Burj Khalifa lakini hiyo haimaanishi kashinda hadi Elon Musk, mtu anarusha vyombo kwenda sayari nyingine mkuu! π€£