JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

Kweli Emaar Properties walitumia Tata steel kwenye ujenzi huo wa Burj Khalifa lakini hiyo haimaanishi kashinda hadi Elon Musk, mtu anarusha vyombo kwenda sayari nyingine mkuu! 🤣
Lakini wanasema anampunga hatari sema anatoa sana misaada
 
Mwaka 2009 Mchoraji na mchongaji maarufu Marc Quinn alionyesha Sanamu ya cichwa chake aliyoitengeneza kwa Kuigandisha damu yake Mwenyewe Iliyofikia Kiasi cha Lita 5.6,Marc Alidai Kuwa Amekuwa Akijitoa Damu Hiyo Katika Kipindi cha Mwaka Kukamilisha mchakato.
 
Back
Top Bottom