Bila shaka walikuwa wavutaji bhage! 🤣 🤣 🤣Mwaka 2013 Wanaume Wawili wa Chicago US Walijaribu Kuiba Katika Mgahawa Mmoja Wakiwa na Bunduki, Lakini Mmiliki wa Mgahawa Huo Aliwaambia Kuwa Palikuwa na Shughuli Nyingi Hivi Sasa na Warudi Saa Moja Hivi Kuiba, Kweli Walirudi na Kukuta Wanasubiriwa na Polisi.
Duh!Miaka ya Zamani Huko Samoa ilikuwa kabla ya Harusi Chifu Anamuingizia Vidole ukeni Bibi Harusi Hadharani ili kujua Kama Ni bikra au laah. Kama sio bikra hakuna ndoa. Anatangazwa mji mzima ili asifuatwe na Mwanaume mwingine kumuoa. Huko Roma ilikuwa unazikwa mzima mzima
A legend ☯️BRUCE LEE aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba Cha kulia chakula(chop stick).BRUCE LEE alizaliwa tarehe 27 november 1940 California marekani
Chief alikua anafaidi balaaDuh!
A legend indeedA legend [emoji3523]
Tena ile ya Arusha ambayo bado mbichi kabisa[emoji28][emoji28]Bila shaka walikuwa wavutaji bhage! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
😂 😂 😂Chief alikua anafaidi balaa
Anafaidi kuingiza vidole tu...?Chief alikua anafaidi balaa
😬😂Anafaidi kuingiza vidole tu...?
Labda angekuwa anaingiza Jumbo
Jumbo bana, eti jeshi linapiga kazi kama jumbo, kuna wakati pia alisema eti vita ya vietnam inaendele kwa kasi kwa sababu ya jumbo😅😅
Jamaa alikuwa crazy huyo... 😂 😂 😂 Na labda alikuwa na kibamia tuJumbo bana, eti jeshi linapiga kazi kama jumbo, kuna wakati pia alisema eti vita ya vietnam inaendele kwa kasi kwa sababu ya jumbo😅😅
🤣🤣🤣😂chezea Jumbo ww ,Jumbo anashughuli nzitoJumbo bana, eti jeshi linapiga kazi kama jumbo, kuna wakati pia alisema eti vita ya vietnam inaendele kwa kasi kwa sababu ya jumbo😅😅
Hatari sana🤣🤣🤣😂chezea Jumbo ww ,Jumbo anashughuli nzito
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]If you drink a gallon of water per day, you won't have a time for other people's drama coz you ll be too busy peeing stay hydrated my friends.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app