JF special thread kwaajili ya Facts

JF special thread kwaajili ya Facts

BRUCE LEE aliweka rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 200 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja na kurusha punje ya mchele hewani na kuidaka kwa kutumia kijiti chembamba Cha kulia chakula(chop stick).BRUCE LEE alizaliwa tarehe 27 november 1940 California marekani
 
Mwaka 2013 Wanaume Wawili wa Chicago US Walijaribu Kuiba Katika Mgahawa Mmoja Wakiwa na Bunduki, Lakini Mmiliki wa Mgahawa Huo Aliwaambia Kuwa Palikuwa na Shughuli Nyingi Hivi Sasa na Warudi Saa Moja Hivi Kuiba, Kweli Walirudi na Kukuta Wanasubiriwa na Polisi.
Bila shaka walikuwa wavutaji bhage! 🤣 🤣 🤣
 
If caught in a burning building, get low & crawl out. The breathable air will be near the floor. There's a silver lining to these clouds of noxious gasses—the heat of the fire forces them all to rise, which clears a low area of relatively clean air to breathe near the floor, but you can't count on that for long duration, just to give you time to react.
 
Back
Top Bottom